MO FARAH ASHINDA MITA 5000.AMESHINDA MEDALI MBILI SASA ZA DHAHABU
Mo Farah anahipenda sana familia yake juu akiwa na mtoto wake Rihanna na Mama yake Rihanna wakisherekea ushindi.Meya wa London Boris na David mchezaji wa zamani Man U sasa anacheza mpira USA wakimshangilia Mo.
No comments:
Post a Comment