Kenya's Abel Kirui (right) is congratulated by gold medalist Kiprotich
Mwanzo walikuwa waKenya wakiongoza na kumzuia Mganda asipite lakini jamaa akawa anawafuata kwa kutumia akili akienda upande huu Mkenya mmoja anamfuata kumzuia lakini ndio mbinu za mchezo.
Mganda Steven Kiprotich akimaliza mbio za kilometa 42 London 2012.Mshindi wa pili ni Mkenya Kirui na W Kiprotich jina sawa na mganda Tunampongeza Mganda.
Spectators watch runners near the Victoria Monument
No comments:
Post a Comment