Sunday, August 26, 2012
MOTO NA MABOMU YAPIGWA KATIKA MECHI YA PAOK DHIDI YA RAPID VIENA HUKO UGIRIKI
mashabiki wa PAOK na Rapid Vienna wakikimbia bomu la machozi
Ilikuwa ni mechi ya kufuzu kucheza mechi za Europa (Eufa ndogo) ambako mashabiki wa timu hizo mbili walianza mechi kwa kupigana na kutupiana vitu vya moto na baada ya kuona mechi inacheleweshwa kuanza mashabiki walivamia mpaka uwanjani na hapo ndipo polisi walipokuja na kulazimika kutumia mabomu ya machozi.
mashabiki wa Rapid Vienna wakikimbizwa na polisi
mashabiki wakilazimisha mechi ianze..
mashabiki wakilazimisha mechi ianze
Mechi ilipofanikiwa kuanza mashabiki hao walitulia na mwisho matokeo yakawa PAOK 2 – 1 Rapid Vienna.
mashabiki wakilazimisha mechi ianze….
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment