akishangilia baada ya kufunga goli
Goli la Skrtel la dakika 37 linawapeleka Mapumziko Liverpool kwa ushindi wa goli 1-0 Kipindi cha pili kimeanza na dakika 63 Yaya Toure anaifungia timu yake bao na kufanya 1-1. akika ya 66 Suarez anarudisha goli mtanange unakuwa mgumu na wa spidi san, dakika ya 79 Skrtel anafanya mafyongo anarudisha pasi nyuma inamkuta adui mtu mzima Tevez na afanyi makosa anatupia nyavuni na kusawazisha kuwa 2-2.
VIKOSI
Liverpool: Reina; Kelly, Coates, Skrtel, Johnson; Gerrard, Lucas (Shelvey 5), Allen; Borini, Suarez, Sterling.

Sergio Aguero katuma picha yake kwenye Twitter kuwa na yeye yupo live anacheki mtanange
kocha wa Liverpool akitoa maelekezo kwenye dakika za mwanzo dk ya 5
Liverpool: Reina; Kelly, Coates, Skrtel, Johnson; Gerrard, Lucas (Shelvey 5), Allen; Borini, Suarez, Sterling.
AKIBA: Jones, Carragher, Enrique, Henderson, Downing, Carroll.
Man City:Hart; Kolo Toure, Kompany, Zabaleta; Milner, De Jong, Yaya Toure, Kolarov; Nasri; Tevez, Balotelli.
AKIBA: Pantilimon, Savic, Lescott, Rodwell, Razak, Silva, Dzeko.RATIBA:
Jumapili Agosti 26
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Stoke City v Arsenal
[Saa 12 Jioni]
Liverpool v Manchester City
Jumamosi Septemba 1
[Saa 8 Dak 45 Mchana]
West Ham United v Fulham
[Saa 11 Jioni]
Swansea City v Sunderland
Tottenham Hotspur v Norwich City
West Bromwich Albion v Everton
Wigan Athletic v Stoke City
[Saa 1 na Nusu Usiku]
Manchester City v Queens Park Rangers
Jumapili Septemba 2
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Liverpool v Arsenal
[Saa 12 Jioni]
Newcastle United v Aston Villa
Southampton v Manchester United
No comments:
Post a Comment