BUKOBA SPORTS

Friday, August 10, 2012

REAL MADRID WAIFUNGA GOLI 5 - 1 DHIDI YA AC MILAN JANA NEW YORK

Real Madrid jana huko Yankee Stadium, New York, Marekani waliifumua AC Milan kwa bao 5-1 huku Nyota wao Cristiano Ronaldo akiwaka na kupachika Bao mbili.
Real Madrid ndio walitangulia kufunga kwa bao la Dakika ya 24 la Angel Di Maria lakini Robinho aliisawazishia AC Milan katika Dakika ya 33.
Ndipo Kipindi cha Pili ikashuka mvua ya magoli

No comments:

Post a Comment