BUKOBA SPORTS

Friday, August 17, 2012

SANAMU LA VAN PERSIE LAONDOLEWA KATIKA UWANJA WA EMIRATES


 NILIKUWA NIMESHAZIBA PENGO LA VAN PERSIE - WENGER.
KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa hatanunua mshambuliaji mwingine ili kuziba pengo la nahodha wake aliyeoondoka Robin van Persie. Klabu hiyo ilifikia makubaliano na klabu ya Manchester United juu ya uhamisho wa mchezo wamchezaji kwa ada ya paundi milioni 24 lakini Wenger amesema kuwa tayari alishapata mbadala wa Van Persie wakati alipowasajili Oliver Giroud na Lukas Podolski. Wenger ambaye ni raia wa Ufaransa amekiri kuwa klabu hiyo ilikuwa haina jinsi zaidi ya kumuuza mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi ambaye alikuwa amebakisha mwaka mmoja. Kocha huyo amesema kuwa huwa inaumiza kumkosa mshambuliaji mwenye kiwango kama cha Van Persie lakini walikuwa hawana jinsi kwakuwa mshambuliajihuyo alikuwa amebakiza mwaka mmoja na hakutaka kusaini mkataba mwingine.  Lukas Podolski ndiye anayetegemewa kuvaa namba ya RVP?
Nukuu ya Wenger  
Arsenal manager Arsene Wenger insists the club had 'no choice' but to let their captain Robin van Persie move to Manchester United.
The Gunners confirmed last night that they had agreed a deal with United for the Dutchman, who will undergo a medical at Old Trafford today.
Allowing their star player to join their long-time rivals has infuriated Arsenal fans, but Wenger has defended the club's decision to cash in after van Persie made it clear he would not be signing a new contract at the Emirates.
"He is at Manchester United, unfortunately for us. The transfer was finalised in the afternoon," said Wenger, speaking to French TV station TF1.
"It's never great to lose players of that quality but he only had a year contract so we do not have a choice.
"We have already recruited since we bought [Olivier] Giroud and [Lukas] Podolski who originally were intended to offset the departure of van Persie," he concluded.

No comments:

Post a Comment