DIAMOND AKA PLATINUM ALIVYO WA ACHA HOI MASHABIKI WAKE KATIKA SHOW YAKE YAKWANZA INCHINI MAREKANI
Usiku wa labor day weekend ndipo mkali Diamond kutoka Inchini Tanzania alipo fika inchini marekani katika mjii wa Washington DC kwa ajili ya show yake ambapo ali perform nyimbo zake zote. Diamond alikuwa akiambatana na ma Dancer wake.
No comments:
Post a Comment