Man City walipata bao la kwanza katika Dakika ya 15 baada ya mpira wa kona kumdondokea Yaya Toure ambae alifunga kirahisi.
Bao hili lilidumu hadi mapumziko.
Kipindi cha Pili, Dakika ya 59, shuti kali la Andy Johnson wa QPR lilitemwa na Kipa Joe Hart na kumkuta Bobby Zamora aliemaliza kirahisi kwa kichwa.
Dakika mbili baadae, Man City walikuwa mbele tena kufuatia kazi njema ya Carlos Tevez kwenye Winga ya kushoto ambako
Bao la 3 lilifungwa na Tevez katika Dakika za majeruhi kwa mpira wa kumbabatiza toka shuti la Dzeko aliekuwa akitaka kufunga mwenyewe.
alimimina krosi iliyofungwa na Edin Dzeko.
Bao la 3 lilifungwa na Tevez katika Dakika za majeruhi kwa mpira wa kumbabatiza toka shuti la Dzeko aliekuwa akitaka kufunga mwenyewe.
Huu ni ushindi wa pili kwa Man City katika Mechi 3 za Ligi kwa Msimu huu ambazo waliifunga Southampton 3-2 na kutoka sare 2-2 na Liverpool.
VIKOSI:
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Lescott, Kolarov, Silva, Toure, Rodwell, Nasri, Tevez, Dzeko
Akiba: Pantilimon, Milner, Sinclair, Clichy, Toure, Balotelli, Razak.
QPR: Green, Bosingwa, Ferdinand, Nelsen, Da Silva, Wright-Phillips, Granero, Park, Faurlin, Zamora, Johnson
Akiba: Murphy, Derry, Cisse, Mackie, Onuoha, Dyer, Hoilett.
Refa: Chris Foy
RATIBA:
Jumapili Septemba 2
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Liverpool v Arsenal
[Saa 12 Jioni]
Newcastle United v Aston Villa
Southampton v Manchester United
No comments:
Post a Comment