KIKOSI CHA AZAM FC CHAWASILI BUKOBA TAYARI KUWAKABILI KAGERA SUGER JUMAMOSI HII.
Kikosi cha Azam fc kimewasili leo hii kimewasili salama mkoani Kagera tayari kuwakabili wapinzani wao Kagera Suger katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa jumamosi tarehe 15 mwezi huu.
No comments:
Post a Comment