
Hichi nicho kikosi kizima cha wachezaji wa timu ya simba ambao walikuwa wameweka kambi jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mazoezi yao ya mwisho katika jiji hili

aya sasa Daniel Akuffo timemaliza kambi ya hapa sasa twandea dar kwa ajili ya ngao ya hisani tusifanye mchezo

Jamani narudi dar es salaam kwa ajili ya ngao ya hisani ila nashukuru mungu sina majeruhi ata mmoja wote wanaoondoka ni wazima wa afyahayo ni maneno ya daktari wa timu ya simba


Hiki ni kikosi cha timu ya simba kikiwa kinafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuondoka jana

No comments:
Post a Comment