BUKOBA SPORTS

Saturday, September 15, 2012

NI NGOMA BALAA USIPIME MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA


makamu wa rais akiwa wasili ndani ya jengo la mikutano la AICC huku kikundi cha ngoma cha jeshi la jkt oljoro kikitumbuiza

Wanafunzi wa shule ya St,Patrick wakiwa wanaimba wimbo wa mazingira wakati wa ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa Simba ulioko ndani ya jengo la AICC

Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilail akiangalia jinsi mtandao wa mazingira ulivyopangwa na utakavyofanyakazi baada ya kuuzindua rasmi kwenye ukumbi wa Mbayuwayu mbele ya wataalamu wa Mazingira kutoka nchi mbalimbali za Afrika na Mashirika ya Umoja wa Mataifa.
Mtandao huu unapatikana kupitia

No comments:

Post a Comment