BUKOBA SPORTS

Saturday, September 8, 2012

REDD'S MISS ILALA 2012 NI NOERA MICHAEL

Mshindi Miss Redd's Ilala 2012 (katikati) akiwa na mshindi wa pili Magdalena Munisi (kulia) na mshindi wa tatu (kushoto) Mary Chizi mara baada ya kutangazwa mshindi wa Miss Redd's Ilala 2012 jana usiku.
NOELA Michael mwenye umri wa miaka 19, kutoka Tabata usiku wa kuamkia leo alitwaa taji la Miss Ilala 2012 katika ukumbi wa Nyumbani Lounge, Namanga, Dar es Salaam. Noela ambaye amemaliza kidato cha sita, anajiandaa kuingia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), aling’ara katika usiku huo ambao alipata upinzani mkali kutoka kwa Magdalena Roy Munisi mwenye umri wa miaka 21, kutoka kwa Dar City Centre aliyeshika nafasi ya pili.Salha akimvika taji Noela kulia

No comments:

Post a Comment