BUKOBA SPORTS

Sunday, October 14, 2012

AFRICA CUP OF NATIONS QUALIFIEL: KIMENUKA SENEGAL, MASHABIKI WAANZISHA VURUGU MCHEZO WA SENEGAL NA IVORY COAST WASHINDWA KUMALIZIKA KUTOKA NA VURUGU.

MCHEZO muhimu wa kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika kati ya Senegal na Ivory Coast ulitelekezwa baada ya mashabiki kuanzisha vurugu uwanjani jijini Dakar. Mashabiki wa Senegal walianza kuwasha moto katika majukwaa na kutupa vitu mbalimbali uwanjani baada ya kushuhudia timu yao ikifungwa mabao 2-0 matokeo ambayo yanamaanisha timu yao kushindwa kufuzu michuano hiyo. Mashabiki wa Ivory Coast walilazimika kuruka na kukimbilia uwanjani kuepuka vurugu zilizokuwepo ambapo waliungana na wachezaji wao na kuondolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali wa polisi.
 Taarifa zinasema kuwa watu 10 akiwemo Waziri wa Michezo wa Senegal Hadji Malick Gakou waliumizwa katika vurugu hizo zilizotokea katika Uwanja wa Leopold Sedar Senghor.Vurugu zilizuka baada ya mshambuliaji nyota wa Ivory Coast Didier Drogba kufunga bao la pili kwa penati zikiwa zimebakia dakika 15 kabla ya mpira kumalizika.Manchester City star Yaya Toure Askari wakijaribu kumkinga.Take cover: Kolo Toure is covered by riot policemen's shieldsKolo Tour na yeye kidogo apigwe.
Stick and stones: Fans threw anything they could lay their hands on onto the pitchKimenuka....
Stick and stones: Fans threw anything they could lay their hands on onto the pitch
Turning nasty: Senegal fans throw rocks and set fires in the stands at Leopold Sedar Senghor Stadium
Mashabiki wa Senegal wakifanya vurugu uwanja wa Leopold Sedar Senghor
Watching on: Riot police watch from the field as Senegal fans throw rocks and set fires in the stands
Mashabuki wa Senegal wakiendelea kufanya vurugu na huku wakiwa wanajiami kutoogopa askari.

No comments:

Post a Comment