BUKOBA SPORTS

Thursday, November 8, 2012

BONANZA LA MPIRA WA MIGUU: TRA KAGERA 3 vs VETERAN BUKOBA 2


Kikosi cha timu ya TRA
Kikosi cha timu ya Veteran
Jana ilikuwa siku ya mlipa kodi,wakati huo huo Rais Obama alitangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi USA, na Ilikuwa birthday ya Willy Kiroyera, TRA Kagera waliandaa bonanza la mchezo wa mpira wa miguu kwa kupambana na Veterni wa Bukoba ili kuongeza mahusiano kati ya mtoza kodi na mlipa kodi ulikuwa mzuri sana

Mechi ilianza saa kumi na robo katika uwanja wa Kaitaba, washabiki walikuwa kidogo.

Veterani walipata bao la kwanza kipindi cha kwanza, mechi ilikuwa na ufundi wa kutosha kwa pande zote mbili watu wazima waionesha utaalam wa kusakata kandada!! TRA walianzima baadhi ya wachezaji kama watano toka Bukoba Veterani kati ya wachezaji hao maveterani waliochezea TRA ni Willy Kiroyera, Paulin na wengine kadhaa. Mtangazaji wa kasibante Abdulrazaki alionesha mbwembwe na wakati TRA walikuwa na papa akionesha mbwembwe za kuvutia.
Kikosi cha pamoja cha TRA
Kipindi cha pili TRA waliongeza nguvu na kusawazisha bao dakika ya 53 iliyowekwa kimyanii na Hasan TRA kwa mkwaju wa penalt, ndipo mavetrani walipopachika boa la pili na TRA kujipanda walibadilisha wachezaji na kuweka nguvu ilikuwa dakika ya sabini cross nzuri toka to Kwa Willy kiroyera ilimkutana Afsa waTRA toka Ngara na kuandika bao la pili.

Mechi ilikuwa na washabiki wakiangali miili mikubwa inavyoweza kuonesha burudani ndipo TRA walipopachika bao la ushindi huku hasan Tra akimfuata kaka Mkubwa Ernest Nyambo kwa kumpa maneno ya utani

hadi mwisho TRA3 BKB Veterani 2 zawadi ya mshindi ilikuwa kret mbili za soda na mshindi aliibuka na kitita kidogo cha elfu 60.000

Wadau wengi wameshauri kuwa TRA iongezee michezo kwa mwaka ujao kwa maana kukimbiza kuku, kukibia kwenye magunia, netball, valley ball na michezo mingine kama bao nk, vile vile waongeze matangazo kwa maana wa kuvuta washabiki wengi na walipa kodi wengi ikiwa ni pamoja na kuongeza dhamani ya zawadi ya mshindi- TRA imeifunga veterani kwa miaka miwili mfululizo.


BAADAYE BUKOBA CLUB
 Baadae ikawa extra bongo hapo bukoba lclub watu wakajinafasi

No comments:

Post a Comment