BUKOBA SPORTS

Saturday, February 14, 2015

ARSENAL WAWAFANYIA MAZOEZI MAGUMU MIDDLESBROUGH, WAPANIA KUFA NAO KESHO JUMAPILI EMIRATES KWENYE KOMBE LA FA CUP.


Wilshere na  Tomas Rosicky
Wachezaji wa Gunners David Ospina, Jack Wilshere, Wojciech Szczesny na Emiliano Martinez leo wakati wa mazoezi yao kujiandaa kukipiga na Timu ya Middlesbrough kesho jumapili kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA CUP.

Nacho Monreal, Hector Bellerin na Santi Cazorla
 Jack Wilshere akiwaza jambo juu ya mechi ngumu ya kesho kati yao na  Middlesbrough
Cazorla kucheza kesho? Leo Kafanya mazoezi
Mesut Ozil akijiweka fiti kwa ajili ya mchezo wa kesho jumapili FA CUP
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger akiwacheki vijana wake leo kwenye Uwanja wa Mazoezi London Colney


Wilshere dhidi ya  Mathieu Flamini leo kwenye Mazoezi

Mchezai na Fowadi wa Klabu ya Arsenal  Chuba Akpom akichuana na mwenzake wa timu hiyo  Gabriel Paulista leo wakati wa mazoezi kwenye Uwanja wa  London Colney

No comments:

Post a Comment