
Wachezaji wa timu ya Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Kampuni ya TBL wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Kyambogo nchini Uganda kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Chalenji dhidi ya timu ya Uganda utakaochezwa leo kwenye Uwanja Nelson Mandela uliopo Namboole. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments:
Post a Comment