BUKOBA SPORTS

Wednesday, January 23, 2013

AFCON 2013: ALGERIA 0 TUNISIA 1, YOUSSEF MSAKNI AIPA USHINDI TUNISIA!!


>>TIMU ZOTE 16 KILA MOJA ISHACHEZA MECHI 1!!
MCHEZAJI mpya wa Klabu ya Qatar Lakhouya, Youssef Msakni, ameibuka Shujaa wa Tunisia baada ya kufunga Bao la Dakika ya 90 na kuipa Nchi yake ushindi wa Bao 1-0 katika Mechi yao ya
kwanza ya Kundi D la Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2013 iliyochezwa huko Royal Bafokeng Stadium Mjini Rustenburg.
Youssef Msakni, mwenye Miaka 22, alikuwa Mchezaji wa Esperance, Mabingwa wa Afrika, na hivi juzi tu alihamia Lakhouya ya Qatar. Msakni gives Tunisia winning start
Baada ya Mechi hii, Timu zote 16 zilizo Makundi manne zimeshacheza Mechi moja kila mmoja na kesho Jumatano Mechi za pili kwa kila Timu zinaanza kwa Kundi A kucheza Mechi mbili kati ya South Africa v Angola na Morocco v Cape Verde, Mechi ambazo zitachezwa huko Mjini Durban Uwanja wa Moses Mabhida.Youssef Msakni akiwatoka
Youssef Msakni akishangilia leo baada ya kuziona nyavu za Algeria mara 1 na kufanya 1-0algeria fan vs south africa 
mashabiki
VIKOSI:
Algeria: Mbolhi; Cadamuro, Belkalem, Medjani, Mesbah; Lacen, Mostefa, Guedioura, Kadir, Feghouli; Soudani.
Tunisia: Ben Cherifia; Ifa, Abdennour, Chammam, Hichri; Traoui, Mouelhi, Hammami, Msakni; Jemaa, Khlifa.
Refa: Papa Gassama (Gambia)


AFCON HISTORY
Best Performance Winners - 2004
Champions 2004
Runners-Up 1965, 1996
Third Place 1962
Fourth Place 1978, 2000 


MSIMAMO:
[Kila Timu imecheza Mechi 1]
KUNDI A
-South Africa Pointi 1
-Cape Verde 1
-Morocco 1
-Angola 1
KUNDI B
-Mali Pointi 3
-Congo DR 1
-Ghana 1
-Niger 0
KUNDI C
-Burkina Faso Pointi 1
-Ethiopia 1
-Nigeria 1
-Zambia 1
KUNDI D
-Ivory Coast Pointi 3
-Tunisia 3
-Togo 0
-Algeria 0


RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Januari 19
South Africa 0 Cape Verde Islands 0
Angola 0 Morocco 0
Jumapili Januari 20
Ghana 2 Congo DR 2
Mali 1 Niger 0
Jumatatu Januari 21
Zambia 1 Ethiopia 1
Nigeria 1 Burkina Faso 1
Jumanne Januari 22
Ivory Coast 2 Togo 1
Tunisia 1 Algeria 0
Jumatano Januari 23
South Africa v Angola [Moses Mabhida Stadium Saa 12 Jioni]
Morocco v Cape Verde Islands [Moses Mabhida Stadium Saa 3 Usiku]
Alhamisi Januari 24
Ghana v Mali [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 12 Jioni]
Niger v Congo DR [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 3 Usiku]
Ijumaa Januari 25
Zambia v Nigeria [Mbombela Stadium Saa 12 Jioni]
Burkina Faso v Ethiopia [Mbombela Stadium Saa 3 Usiku]
Jumamosi Januari 26
Ivory Coast v Tunisia [Royal Bafokeng Stadium Saa 12 Jioni]
Algeria v Togo [Royal Bafokeng Stadium Saa 3 Usiku]
Jumapili Januari 27
Morocco v South Africa [Moses Mabhida Stadium Saa 2 Usiku]
Cape Verde Islands v Angola [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 2 Usiku]
Jumatatu Januari 28
Congo DR v Mali [Moses Mabhida Stadium Saa 2 Usiku]
Niger v Ghana [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 2 Usiku]
Jumanne Januari 29
Ethiopia v Nigeria [Royal Bafokeng Stadium Saa 2 Usiku]
Burkina Faso v Zambia [Mbombela Stadium Saa 2 Usiku]
Jumatano Januari 30
Algeria v Ivory Coast [Royal Bafokeng Stadium Saa 2 Usiku]
Togo v Tunisia [Mbombela Stadium Saa 2 Usiku]

ROBO FAINALI
Jumamosi Februari 2
Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 12 Jioni]
Mshindi Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B [Moses Mabhida Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]
Jumapili Februari 3
Mshindi Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C [Royal Bafokeng Stadium Saa 12 Jioni]
Mshindi Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D [Mbombela Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]

NUSU FAINALI
Jumatano Februari 6
Mshindi RF 3 v Mshindi RF 2 [Mbombela Stadium Saa 12 Jioni]
Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4 [Moses Mabhida Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]

MSHINDI WA TATU
Jumamosi Februari 9
[Nelson Mandela Bay Stadium Saa 3 Usiku]

FAINALI
Jumapili Februari 10
[Soccer City Saa 3 Usiku]

No comments:

Post a Comment