BUKOBA SPORTS

Friday, January 25, 2013

BONDIA FRANCIS CHEKA ATUA BUKOBA LEO HII, TAYARI KWA MAPAMBANO KESHO LINA'S CLUB BUKOBA.

Akisalimiwa na wadau
Mdau mtangazaji imebidi azame hivyo hivyo kumpokea Francis Cheka (kushoto)
Faustine Ruta wa Bukobasports.com na yeye alikuwa ndani ya basi hilo na hapa akipata ukodak na Francis Cheka
Kama kutupia Five vile hapa. kesho hapatoshi!!
Francis Cheka na Wife wake muda mchache baada ya kufika na kukaribishwa kwa Senene
Ukiwa Bukoba senene ni kama Dagaa Kigoma!!! unashangaa muulize Cheka!!
Mhhh.... Senene tamu!!!...
Bw. Willy O.Rutta (kulia) ambaye ni katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera akiteta na wadau mbali mbali baada ya Francis Cheka kufika.
Bondia Francis Cheka akionesha mikanda ambayo alisha pata mpaka sasa
Bw. Willy O.Rutta (kulia) ambaye ni katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera akiangalia mikanda hiyo ambayo ni kielelezo tosha cha Francis Cheka cha ushindi mpaka sasa kwenye tasnia hii ya Masumbwi Tanzania.

Bw. Willy O.Rutta (kulia) ambaye ni katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera akifurahia kuona mikanda hiyo ya Francis Cheka
Bondia Francis Cheka akiwapa maelekezo kuhusu mikanda hiyo

No comments:

Post a Comment