
David Beckham atatambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa Paris St Germain ya Ufaransa
Nahodha huyo wa zamani wa England anajiunga na PSG kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na LA Galaxy ya Marekani.
PSG haitomlipa mshahara Beckham kwa vile ameamua utumike kwa ajili ya kusaidia "local charity" ya watoto
Inasemakana alikuwa na maombi mengi mkononi mwake kabla ya kuamua kujiunga na kikosi hicho cha Carlo Ancelotti.
No comments:
Post a Comment