BUKOBA SPORTS

Thursday, January 31, 2013

MARIO BALOTELLI APOKELEWA KWA SHANGWE AC MILAN


MARIO BALOTELLI AKIWA NA JEZI YA KLABU YA AC MILAN

MARIO BALOTELLI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAKAMU WA RAIS WA KLABU YA AC MILAN ADRIANO GALLIANIBalotelli akiwasili na kupokewa kwa shangwe.

Balotelli akishangaa shangaa baada ya kusikia sauti za watu wakimtaja huku na kule

 Balotelli akiwa amezungukwa na umati wa watu wengi katika mgahawa wa Giannino

Mashabiki wa Ac Millan wakiwa wamemzunguka Balotelli
karibu....


Mario Balotelli na RAIS WA KLABU YA AC MILAN ADRIANO GALLIANI

No comments:

Post a Comment