Ushindi huu umewafanya Arsenal wabakie nafasi ya 6 lakini wamepunguza pengo na Timu ya 4 Tottenham kuwa Pointi 4 huku West Ham wakibakia nafasi ya 12.
Mechi hii ya Arsenal na West Ham ilikuwa ni kiporo baada ya kuahirishwa hapo Desemba 26 kufuatia Mgomo wa Wafanyakazi wa Reli wa Jiji la London, London Underground.
Jack Collison ndiye aliyeanza kuona nyavu katika mchezo wao jana
VIKOSI:
Arsenal:
Szczesny, Sagna, Mertesacker, Vermaelen (Koscielny 57), Gibbs, Ramsey,
Wilshere, Cazorla, Walcott, Giroud (Oxlade-Chamberlain 73), Podolski
(Andre Santos 70).
Subs Not Used: Mannone, Arshavin, Jenkinson, Frimpong.
Goals: Podolski 22, Giroud 47, Cazorla 53, Walcott 54, Giroud 57.
West Ham: Jaaskelainen, Demel, Tomkins, Reid (Diarra 62), O'Brien, Noble, Nolan, Collison (Potts 62), Taylor, Carlton Cole, Vaz Te (Diame 70).
Subs Not Used: Henderson, Jarvis, Joe Cole, O'Neil.
Booked: Vaz Te.
Goals: Collison 18.
Attendance: 60,081
Referee: Andre Marriner

No comments:
Post a Comment