BUKOBA SPORTS

Thursday, January 24, 2013

MAANDALIZI YA MAPAMBANO YA NGUMI JUMAMOSI HII, KUPATA TIMU YA MKOA WA KAGERA KWA AJILI YA MASHINDANO YA NGUMI ZA RIDHAA KITAIFA DAR ES SALAAM.

Mwalimu akiangalia wanafunzi wake wakijifua leo hii kwenye fukwe za Kiroyera


Nyoosha viungo..
mazoezi yakiendelea..
Wanamasumbwi wakijifua



Willy akiendelea kuongea na vijana Ufukeni hapo kuhusu mitanange hiyo ya Jumamosi
Mwalimu mfano wa kuigwa..
Bw. Willy O.Rutta  ambaye ni katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera akiteta na wanamasumbwi waliojitokeza leo hii. (kulia) ni Mwenyekiti wa Chama cha Mkoa Kagera. Akiongea na Bukobasports.com Willy amesema kuwa itakuwa ni siku ya kipekee siku hiyo ya jumamosi na pia wasanii kutoka Dar es salaam watakuwepo kwa Burudani na Wanamasumbwi Maarufu watakuwepo siku hiyo.
Mwalimu wa ngumi wa klabu ya Mafumbo boxing (kushoto) kulia ni Faraji Hamisi
Mwanamasumbwi(kushoto) akiwa amechemka kweli kweli na mazoezi leo asubuhi


Zoezi likiendelea ..

Mwalimu na yeye akifanya mazoezi hapa(kulia) ni Bw. Willy katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera akionesha kipaji hapa.

Katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera Bw. Willy O.Rutta akiongea kuhusu mapambano hayo ya  jumamosi yatakayofanyika kwenye ukumbi wa Lina's Bukoba
Wakiruka kamba

No comments:

Post a Comment