BUKOBA SPORTS

Sunday, January 27, 2013

MAHAKAMA MISRI YAWAHUKUMU KIFO WATU 21 KWA VURUGU ZA MPIRA NA KUSABABISHA WENZAO 74 KUFA MWAKA 2012


Mahakama moja nchini Misri imewahukumu adhabu ya kifo watu 21 kufuatia hukusika katika vurugukatika mchezo wa soka baina timu pinzani nchini humo ambapo watu 74 walipoteza maisha mwezi wa pili mwaka jana.

Vurugu hizo, mbaya zaidi kutokea nchini Misri katika Nyanja ya soka, ziliztokea baada ya mechi ya Ligi Kuu katika uwanja wa port.

No comments:

Post a Comment