BUKOBA SPORTS

Wednesday, January 23, 2013

MAPOU YANGA-MBIWA ATUA NEWCASTLE UNITED.


Newcastle United imemsaini Beki Mapou Yanga-Mbiwa kutoka Klabu ya France Montpellier kwa Ada ambayo haikutajwa lakini inasadikiwa kuwa £6.7m.
Beki huyo wa France mwenye Miaka 23 amesaini Mkataba wa Miaka 5 na nusu.


Na wakati huo huo, Yoan Gouffran, Fowadi wa Klabu nyingine ya France, Bordeaux, ametoboa kuwa yuko njiani kujiunga na Newcastle.Mapou Yanga-Mbiwa akifanya mazoezi

No comments:

Post a Comment