Ghana 2-Cape Verde 0
Ghana imeingia nusu fainali baada ya kuicharaza Cape Verde 2-0 katika mchezo wa kwanza wa robo fainali.
Ghana imepata bao la kwanza katika kipindi cha pili likifungwa na Mubarak Wakaso kwa njia ya penalti katika dakika ya 54.Wakaso tena iliihakikishia Ghana kusonga mbele baada ya kufunga bao la pili katika dakika ya tisini.
Wakaso Mubarak akifunga goli
Hata hivyo Cape Verde ambayo imeshiriki kwa mara ya kwanza ilionyesha upinzani mkubwa na michuano hiyo inayoendelea nchini Afrika Kusini.
Mechi nyingine hii leo itazikutanisha wenyeji wa michuano hii, Afrika Kusini kwa kupambana na Mali mjini Durban.
Wakaso na wachezaji wakifurahia ushindi huo mnono
Ghana hii ni mara ya nne kuingia lakini hawajawahi kushinda mashindano haya tangu 1982
Cape Verdewaliongeza nguvu zaidi kipindi cha pili lakini mambo yakawa nayo magumu kukatiza ngome ya Ghana.
Wachezaji wa Ghana wakishangilia baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika kufuatia kuichapa Cape Verde kwa mabao 2-0 mchezo uliopigwa katika mji wa Port Elizabeth.
Wachezaji wa Ghana wakishangilia baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika kufuatia kuichapa Cape Verde kwa mabao 2-0 mchezo uliopigwa katika mji wa Port Elizabeth.
VIKOSI:
Ghana: Dauda,
Pantsil, Boye, Vorsah, Afful, Rabiu (Derek Boateng 84), Agyemang-Badu,
Adomah (Wakaso 47), Asamoah, Atsu (Asante 78), Gyan.
Subs Not Used: Agyei, Richard Boateng, Awal, Annan, Akaminko, Clottey, Boakye, Mensah.
Booked: Rabiu, Pantsil, Afful.
Goals: Wakaso (pen) 54, 90.
Cape Verde:
Vozinha, Nivaldo, Varela, Nando, Carlitos, Marco Soares, Tony (Djaniny
67), Babanco, Nhuck, Tavares (Ze Luis 80), Ryan Mendes (Platini 51).
Subs Not Used: Fredson, Stenio, Guy Ramos, Josimar, Gege, Rony, Pecks.
Booked: Babanco, Carlitos, Ze Luis.
Att: 8,000
Ref: Rajin Seechurn (Mauritius).
No comments:
Post a Comment