Manchester City, wakicheza kwao Uwanja wa Etihad, leo wameichapa Chelsea Bao 2-0 na Kujipatia alama 3 muhimu ya nafasi ya pili na kupanda juu kuinyemelea Manchester United kwa kuwa Pointi 12 nyuma yao Mechi zikiwa zimebaki 11.
Chelsea wameweza kupata penati baada ya mchezaji wao BA kuangushwa eneo la penati na kipa wa City na Lampard kukosa penati hiyo ambayo kipa Hart ameitoa. Chelsea pamoja na kufungwa na City wameendelea kushikilia nafasi ya 3 wakiwa na pointi 49 juu ya pointi moja ya Tottenham ambao kesho wanacheza na wenye pointi 48. Kama Spurs kesho watashinda basi Chelsea watakuwa hatarini kutelemshwa na Tottenham chini.
Carlos Tevez akiipatia City goli la pili
Tevez akishangilia na kukumbatiwa na mchezaji mwenzake James Milner
Frank Lampard akipiga penati ...
VIKOSI:
Manchester City: Hart, Zabaleta, K Toure, Nastasic, Clichy, Garcia, Milner, Rodwell (Tevez 53) Silva (Lescott 90), Y Toure, Aguero (Nasri 90).
Subs not used: Pantilimon, Dzeko, Sinclair, Kolarov.
Goals: Y Toure 61, Tevez 85
Booked: Zabaleta, Kolo Toure, Rodwell
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Luiz, Cole, Mikel (Torres 81), Lampard (Oscar 67), Ramires (Moses 67) Mata, Hazard, Ba.
Subs not used: Turnbull, Oscar, Terry, Azpilicueta, Bertrand.
Booked: Ramires
Referee: Andre Marriner
Attendance: 47,256
RATIBA.
BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Jumatatu Februari 25
[Saa 5 Usiku]
West Ham United v Tottenham Hotspur
Jumamosi Machi 2
[Saa 12 Jioni]
Chelsea v West Bromwich Albion
Everton v Reading
Manchester United v Norwich City
Southampton v Queens Park Rangers
Stoke City v West Ham United
Sunderland v Fulham
Swansea City v Newcastle United
[Saa 2 na Nusu Usiku]
Wigan Athletic v Liverpool
Jumapili Machi 3
[Saa 1 Usiku]
Tottenham Hotspur v Arsenal
Jumatatu Machi 4
[Saa 5 Usiku]
Aston Villa v Manchester City
No comments:
Post a Comment