BUKOBA SPORTS

Sunday, February 24, 2013

MAAFALI YA KWANZA KIDATO CHA SITA JOSIAH GIRLS' HIGH SCHOOL BUKOBA YAFANA 23.02.2013

Wahitimu wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Josiah wakiingia ukumbini


Picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Kagera,Kanali mstaafu Fabian Massawe (kushoto)Methodius Kilaini askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba.

Raha za kumaliza form six
Wageni wakitembea kuona mazingira ya shule hiyo ya shule ya sekondari ya Josiah
shule ya sekondari ya Josiah

Baadhi ya wageni walioudhuria mahafali ya kwanza ya shule ya sekondari ya Josiah
(Kushoto) askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba Methodius KilainiMeza kuu
Bw. Ernest Nyambo (katikati) akiendelea kusikiliza Hotuba ya Mgeni Rasmi Mkuu wa mkoa Kanali mstaafu Fabian Massawe
Walimu
Bw. Ernest Nyambo akiendelea kusikiliza Hotuba ya Mgeni Rasmi Mkuu wa mkoa Kanali mstaafu Fabian Massawe
Mc katika Sherehe hiyo
Watangazaji wa radio Kasibante Fm 88.5 wakiwa kazini...
Mtangazaji wa Radio Kasibante akiendelea na kazi yake ya kutega mawimbi eneo hilo la Josiah Girls
Wageni mbalimbali katika sherehe hizo za maafali ya kidato cha sita Josiah Baadhi ya wajumbe kamati ya shule

Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Kagera,Kanali mstaafu Fabian Massawe
Mwenyekiti wa bodi ya shule, Johansen Rutabingwa(katikati) kushoto niMkuu wa mkoa wa Kagera,Kanali mstaafu Fabian Massawe
Wahitimu wa kidato cha sita
Wahitimu wa kidato cha sita
Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba Methodius Kilaini akisalisha sala maalum ya kufungua Sherehe
Mkuu wa shule ya Josiah sekondari,Adella Kashushula akitambulisha
Mkuu wa shule ya Josiah sekondari, Adella Kashushula katikati ni Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Kagera,Kanali mstaafu Fabian Massawe na kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya shule, Johansen Rutabingwa.

























juyuyu

No comments:

Post a Comment