BUKOBA SPORTS

Saturday, February 2, 2013

ENGLISH PREMIER LEAGUE: QPR 0 vs NORWICH 0

Leo kwenye English premier league QPR wakiwa kwao wametoshana nguvu na timu ya Norwich ya bila kufungana kwa kutoka sare ya 0-0, Golikipa wa Norwich Bunn ameisaidia kutoa penati iliyopigwa na mchezaji wa QPR na kuweza kutoshana nguvu. QPR ambao wamesajili difenda Christopher Samba ambaye wamemnunua kwa £12.5million leo hii amecheza na kuonesha kiwango cha juu. QPR pia wameweza kunyimwa penati ambayo imeweza kuleta utata na refa Jon Moss kuweza kupeta.
sare hii imewabakisha tena QPR mkiani wakiwa na pointi 17 na Norwich wakipanda  nafasi na kuwa wa 13 kwenye msimamo wa ligi kuu na wakiwa na pointi 28. 

Kipa wa Norwich Mark Bunn (kushoto) akimkwatua mguu Jamie Mackie ndani ya box la penati
Akichonga penati
Kipa Bunn akiokoa mkwaju wa penati hiyo ambayo ameisababisha yeye
Zamora akitupia kwa kichwa na mpira kugonga goli
Bradley Johnson na Sebastien Bassong wakimkaba Shaun Wright-Phillips (kushoto)

Christopher Samba akionesha kiwango kwenye mechi yake ya kwanza na QPR kwa mwaka huu 2013
VIKOSI:
QPR: Julio Cesar, Da Silva (Ben Haim 74), Samba, Hill, Traore, Wright-Phillips (Zamora 54), Mbia (Jenas 69), Derry, Townsend, Taarabt, Mackie. Subs not used: Green, Park, Granero, Bothroyd.
Booked: Mbia, Hill.
Norwich: Bunn, Martin, Bassong, Turner, Garrido, Snodgrass, Tettey, Johnson, Pilkington (Elliott Bennett 24), Hoolahan, Holt. Subs not used: Camp, Whittaker, Howson, Jackson, Becchio, Barnett.
Booked: Garrido, Bunn, Tettey, Turner.
Referee: Jon Moss.
Attendance: 17,543.

No comments:

Post a Comment