Moussa Sissoko, alifunga mara mbili kwa ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kuichezea Newcastle, ambayo ilikuwa nyuma kwa magoli mawili na kuibuka washindi kwa kuilaza Chelsea.
Mchezaji wa zamani wa Newcastle Demba Ba ambaye anachezea Chelsea alipata nafasi ya kwanza kulishambulia lango la Newcastle.
Dakika chache baadaye, Jonas Gutierrez alifunga goli lakini Chelsea ilijibu mapigo kwa kufunga kupitia kwa Frank Lampard na Juan Mata.
Ilikuwa ni makaribisho mazuri kwa mashabiki wa Newcastle kwa ushindi huo uliochochewa na mchezaji kiungo huyo kutoka Ufaransa, ambaye alitia saini kuichezea Newcastle tarehe 25 mwaka huu.
Kocha wa Newcastle Alan Pardew ameelezea usajili wake mpya wa mchezaji Demba Ba mwenye umri wa miaka 23 kuwa ni mafanikio makubwa kwa timu yake.
Demba Ba akiumizwa hapa baada ya Fabricio Coloccini kupiga mpira na hatimaye kuukosa.
Demba Ba
Jonas Gutierrez akifunga goli la kwanza kwa timu yake
Frank Lampard akishangilia
Moussa Sissoko akishangilia baada ya kutupia dakika za mwishoni lala salama.
Newcastle:
Krul, Debuchy, Steven Taylor, Coloccini, Santon, Perch, Cabaye,
Gouffran (Marveaux 84), Sissoko (Yanga-Mbiwa 90), Gutierrez, Cisse. Subs
Not Used: Elliot, Anita, Bigirimana, Obertan, Shola Ameobi.
Booked: Perch, Cisse.
Goals: Gutierrez 41, Sissoko 68, 90.
Chelsea:
Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Ramires, Lampard, Oscar, Mata,
Bertrand, Ba (Torres 43). Subs Not Used: Turnbull, Ferreira, Marin,
Azpilicueta, Benayoun, Ake.
Booked: Ramires, Cole, Mata.
Goals: Lampard 55, Mata 61.
Att: 52,314.
Ref: Howard Webb.
No comments:
Post a Comment