Kipa wa Stoke City Asmir Begovic aliokoa makombora ya mshambulizi wa Arsenal Lukas Podolski, kunako dakika za mwisho za mechi hiyo.
Begovic vile vile alizuia mikwaju ya Alex Oxlade-Chamberlain, ambaye alikuwa amesalia pekee ndani ya eneo la hatari.
Katika mechi zingine, QPR ilitoka sare ya kutofungana baop lolote na Norwich City.
Everton vile vile ilitoka sare ya kufungana magoli matatu kwa matatu na Aston Villa.
Reading imejizolea alama tatu zaidi baada ya kuinyuka Sunderland Magoli mawili kwa moja, Swansea ikaambulia patupu ugenini kwa kulazwa moja bila na West Ham.
Wigan licha ya kuwa katika uwanja wao wa nyumbani ililazimika kugawana alama na Southampton baada ya kufungana magoli mawili kwa mawili.
Mchezaji Jon Walters akionekana kuumia baada ya kugongana vichwa na mchezaji mpya wa Arsenal Nacho Monreal leo ambapo Arsenal wameibuka na ushindi wa goli 1-0
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny,
Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Diaby (Cazorla 68), Arteta,
Wilshere, Oxlade-Chamberlain (Podolski 8),Walcott (Ramsey 90),Giroud.
Subs not used: Mannone, Rosicky, Andre Santos, Jenkinson.
Goals: Podolski 78.
Stoke:
Begovic, Shotton, Shawcross, Huth, Wilkinson, Walters (Jerome 84),
Cameron (Owen 84), Nzonzi, Whelan, Etherington, Crouch (Jones 83).
Subs not used: Sorensen, Adam, Whitehead, Kightly.
Booked: Whelan, Wilkinson, Shawcross.
Att: 59,872.
Ref: Chris Foy.
No comments:
Post a Comment