Tuesday, February 12, 2013

KARIBU G-SMART BOUTIQUE UJICHUKULIE PAMBA ZA NGUVU,ULIPUKE SIKU YA VALENTINE DAY HII NA PASAKA, NGUO ZA AINA ZOTE ZINAPATIKANA ZA KIUME, WATOTO NA KINA MAMA.

G-SMART BOUTIQUE TUNAPATIKANA BARABARA YA ARUSHA BUKOBA MJINI
G-SMART BOUTIQUE wanataka kila mtu apendeze, ukitaka mtoto wako avae unique na kama STAR karibu G-Smart utapata nguo za watoto wa kike na wa kiume!! G-SMART BOUTIQUE katika kuwahakikishia wateja wake kwamba bei zake ni za kawaida wameweka bei ya kila nguo, yaani mteja anapofika dukani anachukua na kuondoka, wahi sasa mzigo ni mchache!!!



Mashati ya kila rangi

Nguo za kike

Tisheti



unapofika G-Smart na wewe unakuwa Smart tayari...!

Viatu aina mbalimbali

Mteja akijichukulia nguo za aina mbalimbali ... si unaona na yeye anaikaribisha Valentine day ...au vp

Open shoes...za kumwaga


Saa za Ukweli zinapatikana


Viatu tofauti tofauti

No comments:

Post a Comment