BUKOBA SPORTS

Friday, February 15, 2013

OSCAR PISTORIUS AFIKISHWA KOTINI


MWANARIADHA nyota mlemavu Oscar Pistorius wa Afrika Kusini, amefikishwa mahakamani akikabiliwa kwa madai ya kumuua mchumba wake kwa kumpiga risasi nyumbani kwake mjini Pretoria, Afrika Kusini. Pistorius alitiwa nguvuni toka jana kutokana na tuhuma hizo katika kituo cha polisi na uamuzi utaafikiwa ikiwa ataruhusiwa kupewa dhamana lakini anakabiliwa na wakati mgumu kwani waendesha mashtaka wanataka Pistorius aendelee kubakia lupango. Mwandishi wa BBC Andrew Harding, mjini Pretoria, amesema kuwa maelezo fulani, ya kesi hiyo dhidi ya Pistorius mwenye umri wa miaka 26 na upande wa utetezi yatatolewa baadaye leo.Wataalamu wa uchunguzi, wanatarajiwa kuendelea na uchunguzi wao katika nyumba ya Pistorius ambako mchumba wake Steenkamp, aliuawa. Duru zinasema kukamatwa kwa Pistorous kumewashangaza wengi sana Afrika Kusini ambako anatazamiwa kama shujaa. Pistorius alikuwa mkimbiaji wa kwanza mlemavu kuruhusiwa na shirika la kimataifa la riadha kuweza kushindana na wanaridha wengine wasio na ulemavu wowote.
Charged: Pistorius, his head lowered and face covered, leaves the Boschkop police station in Pretoria for a blood test at hospital prior to being taken to court
Pistorius ambaye amejificha kwa jaketi kichwani wakati anatolewa kwenye kituo cha polisi cha Boschkop Pretoria leo hii.
Oscar Pistorius with his girlfriend Reeva Steenkamp in Johannesburg, South Africa, in November. Pistorius is due in court today charged with her murder
Pistorius na Steenkamp (kusho) ambaye amelambwa shaba na Star huyo
Last photo: Pistorius and girlfriend Reeva Steenkamp pose for a picture in Johannesburg last Thursday
Picha ya hivi karibuni kabla ya majanga: Pistorius na girlfriend wake Johannesburg kabla.


HISTORIA YA OSCAR PISTORIUS.
November 1986 Born without the fibula, the bone that connects the knee to the ankle, in each leg. Has both legs amputated below the knee before his first birthday.
January 2004 Takes up athletics, initially to recover from a rugby injury.
June 2004 Receives his first pair of Ossur Flex-Foot Cheetah legs, Pistorius’ blades.
August 2004 Wins gold and bronze in the T44 200m and 100m at the Paralympics in Athens.
July 2007 Competes for the first time internationally against able-bodied athletes in Rome.
November 2007 Undergoes clinical tests and is then banned from IAAF competition. The organisation say Pistorius’ blades give him an unfair advantage.
May 2008 The Court of Arbitration for Sport over-rules the IAAF decision.
September 2008 Misses qualification for the Olympics by 0.7secs, but wins three golds at the Paralympics in Beijing.
January 2011 Wins three IPC world titles but loses for the first time in seven years over 100m.
August 2011 Qualifies for the IAAF World Championships in Daegu. Wins silver in the 4x400m relay, but misses out on a place in South Africa’s team for the final.
August 2012 Becomes the first double amputee to run at the Olympic Games, reaching the semi-finals of the 400m and the final of the 4x400m.  Carries the South African flag at the Paralympic Opening Ceremony and then wins a  silver and two gold medals in the 200m, 400m and 4x100m relay.
February 2013 Charged with murder after his girlfriend, Reeva Steenkamp, is shot dead.

No comments:

Post a Comment