VALENCIA 1 vs PSG 2
Mechi za Ligi ya mabingwa zilizoanza kutimua vumbi kwa hatua ya makundi 16 ya mtoano, Paris St Germain(PSG) walipata ushindi wa
ugenini wa Bao 2-1 lakini pia walipata pigo kwa mchezaji wao Zlatan
Ibrahimovic kutolewa kwa Kadi Nyekundu katika Dakika za Majeruhi kwa
kucheza ndivyo sivyo (Rafu) kwa wachezaji wa Valencia.
Ezequiel Lavezzi akishangilia na kukumbatiwa na Zlatan Ibrahimovic baada ya kuipatia goli la kwanza Paris Saint-Germain dhidi ya Valencia katika dakika ya 10 ya mchezo wao jana usiku.
Mchezaji wa PSG Javier Pastore (kulia) akiwapatia goli la pili na kufanya 2-0
David Beckham (katikati) alikuwepo kuangalia kuangalia timu yake mpya aina ya uchezaji wao
Christophe Jalletakichuana na Ever Banega
Ibrahimovic akifanya makeke yake na nyuma ni Tino Costa akimkaba
Mchezaji Adil Rami aliwapatia Valencia goli dakika za lala salama na kufanya 2-1
Nje....
Zlatan Ibrahimovic is
shown red by referee Paolo Tagliavento for a wild lunge in added time of
PSG's impressive victory at Valencia. Photograph: Juan Carlos
Cardenas/EPA
VIKOSI:
Valencia: Guaita, Rami, Joao Pereira, Guardado, Costa, Oliveira (Valdez 46), Feghouli (Viera 83), Banega (Canales 46), Parejo, Facundo, Costa, SoldadoSubs not used: Diego Alves, Ruiz, Albelda, Piatti
Booked: Joao Pereira
Goal: Rami 90
Paris Saint-Germain: Sirigu, Sakho, Alex, Maxwell, Jallet, Matuidi, Verratti, Pastore (Armand 88), Lucas Moura (Chantome 53), Lavezzi (Menez 76), Ibrahimovic
Subs not used: Douchez, Camara, Van Der Wiel, Gameiro
Booked: Verratti
Sent off: Ibrahimovic 90
Goals: Lavezzi 10, Pastore 43
Referee: Paolo Tagliavento (Italy)
Attendance: 55,000
No comments:
Post a Comment