Mchezaji Robin van Persie (chini) akifanya mazoezi wapili kutoka kulia ni Nemanja Vidic, anayefata ni Paul Scholes
Wayne Rooney (katikati) akiendelea na wenzake kufanya mazoezi, hakika kazi hipo ...
Sir Alex Ferguson akiangalia vijana wake leo kwenye mazoezi
Rafael na Shinji Kagawa kazi mnayo kwa Real Madrid...
Inuka .... bwana na wewe tayari...!!
Mhh, mnacheka...
angalia....
Ferguson naye hapa alikuwa uwanjani kuangalia vijana wake wakijifua kwa ajili ya mpambano kati yao na Real Madrid.
No comments:
Post a Comment