VODACOM PREMIER LEAGUE: KAGERA SUGAR 1 vs MGAMBO SHOOTING 0
Wachezaji wa Mgambo Shooting Wachezaji wa Kagera Sugar Afisa Utamaduni Bw. Rugeiyamu akisalimiana na Waamuzi Afisa Utamaduni akisalimiana na wachezaji Viongozi wakisaliana na wachezaji
Timu ya Mgambo Shooting ikisalimia Waamuzi wa mpambano kikosi cha Kagera Sukari Kikosi cha Mgambo Shooting Kocha wa Kagera Sugar Abdallah King Kibadeni (kulia) na wasaidizi wake Makapteni wakisalimiana na waamuzi Benchi la Kagera Sugar Benchi la Mgambo shooting Mtanange ukiendelea Baadhi ya Wachezaji wa kagera sugar wakiangalia mechi hiyo Wadau mbalimbali wakiangalia mechi wadau wakifatilia soka
Kipa wa Mgambo Shooting aliumia hapa na baada ya muda aliendelea kuidakia timu yake. Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha hakuna timu iliyokuwa imeziona nyavu za mwenzake
No comments:
Post a Comment