BUKOBA SPORTS

Monday, March 25, 2013

ARMIN VEH AKUBALI MKATABA MPYA FRANKFURT MPAKA 2014

KLABU ya Eintracht Frankfurt ya Ujerumani imebainisha kuwa kocha Armin Veh amekubali kuongeza mkataba wa kuinoa klabu hiyo kwa msimu mwingine mmoja mpaka mwaka 2014. Veh ambaye alijiunga na klabu hiyo mwaka 2011 aliiongoza timu hiyo kurejea katika nafasi za juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini humo maarufu kama Bundesliga ambapo sasa timu hiyo inafukuzia nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.Katika taarifa iliyotolewa na rais wa klabu hiyo Heribert Brunchhagen amesema amefurahi kumshawishi kocha huyo kuendelea kuwepo hapo haswa kutokana na kuingoza vyema klabu hiyo msimu huu. Mbio za Frankfurt msimu huu ni kutafuta nafasi ya nne lakini Veh amepania kukisuka upya kikosi chake msimu ujao kwa ajili kutafuta nafasi za juu zaidi au kunyakuwa taji la Bundesliga.Veh to stay at Eintracht Frankfurt another season



KUHUSU VEH
Armin Veh
Armin Veh Veh with Frankfurt in 2012.
Personal information
Date of birth 1 February 1961
Place of birth Augsburg, West Germany
Height 1.81 m (5 ft 11 in)
Playing position Midfielder
Youth career
1978–1979 FC Augsburg
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1979 FC Augsburg 6 (0)
1979–1983 Borussia Mönchengladbach 60 (3)
1983–1984 FC St. Gallen 18 (0)
1984–1985 Borussia Mönchengladbach 5 (0)
1985–1987 FC Augsburg

1987 TSV Schwaben Augsburg

1987–1990 SpVgg Bayreuth 53 (1)
Teams managed
1990–1995 FC Augsburg
1996–1997 SpVgg Greuther Fürth
1998–2001 SSV Reutlingen
2002–2003 Hansa Rostock
2003–2004 FC Augsburg
2006–2008 VfB Stuttgart
2009–2010 VfL Wolfsburg
2010–2011 Hamburger SV
2011– Eintracht Frankfurt

No comments:

Post a Comment