
Mchezaji david Beckham, amewaacha midomo wazi wanafunzi wa Chuo Kikuu cha "Peking" nchini China wakati alipokitembelea na kuamua kunyanyua shati lake ambapo tattoo mpya iliyoandikwa kichina ilionekana. Beckham mwenye umri wa miaka 37 yuko nchini humo katika ziara ya siku tano kama akiwa ni balozi wa "kids football".
Beckham mwenye watoto wanne na mkewe victoria amechora tattoo mpya ya kichina yenye maana hii -- “LIFE AND DEATH ARE DETERMINED BY FATE, RANK AND RICHES DECREED BY HEAVEN.”
No comments:
Post a Comment