BUKOBA SPORTS

Saturday, March 30, 2013

DIAMOND PLATINUM AFUNIKA GEITA, AFANYA MAAJABU YA MWAKA, MAMIA YA WAKAZI GEITA WATIRIRIKA KWA WINGI... DESIRE CLUB USIKU HUU!!!

Wasafii kama kawaida yao kufungua..
Hapa ni effect tuu...
Taratiiiiibu hadi chini....Wasafi hao...
Kila mtu furaha hadi moyoni...
Dadaz sasa ...ndiyo usiseme ....Furaha imetanda
....usipime....

Taratibu ikaanza nyimbo...

Rais wa Wasafiii ....eeeee...Platinumzzzzz
CD ikigoma huna kazi hapa....

Moyo umetoka ghafla ukaamia jukwaani.......
Moto ni ule uleeeee...
Geita na sisi tumo.....kidigitali

usipime jukwaani ...hakuna zaidi yetu...
Uongozi si kazi lele mama..lazima kazi ijionyeshe..
kundi la Wasafii (kushoto) wakimcheki mkuu wao akifanya kilichomleta Geita usiku huu..
Kazi ikiendelea jukwaani....
mhh...


Mashabiki wa Diamond Platinum...
Hapa mwendo ule ni ule.....


Mashabiki wakicheki kundi zima jukwaani likifanya majambozii...usiku huu
Nokia, sony Ericsson, mchina....zote zilimulika ...


ulinzi lazima....
Raha ikafata kwa wasafiiii...
Rais wa Wasafii hapa akicheki vijana wake hao kwa kazi nzima ya kukonga nyoyo za wanageita.


Weeeeee weeee....

Dada mizuka ilipanda akajikuta na Diamond jukwaani
Wasafii wakifagia fagia hapa..







Kulewa Kulewa......ikabamba muda huu na wananchi wa Geita nao wakalewa...
Ilibidi Platinumz alewe  na wananchi wa Geita...
Mizuka ikapanda ...



Balaaa sasa Diamond Platinum ...
ilibidi avue ...



Mnataka tena..Tuendele Ama Tusiendeleeeeeee.........????
macho yote yalikuwa jukwaani kuwacheki vizuri Wasafii pamoja na rais wao





jukwaani palikuwa padogo mwishoni maana kila mtu alitaka kucheza nae Platinum

wadau wakibaki midomo wazi na wengine furaha imepanda

No comments:

Post a Comment