Bao pekee la Man United lilifungwa baada ya Shuti kali la Robin van Persie kuwababatiza Mabeki wa Sunderland Bardsley na Titus Bramble na kutinga wavuni katika Dakika ya 27
Van Persie alikosa Bao la wazi katika Dakika za majeruhi wakati Kipa Simon Mignolet alipookoa shuti lake walipokabiliana uso kwa uso.
Mbali ya kupata ushindi mtamu, Man United sasa wamecheza zaidi ya Dakika 660 kwenye Ligi bila kufungwa Bao hata moja.
Man United wamebakiza Mechi 8 za Ligi na, kwa hali ilivyo sasa, wakishinda Mechi 4 tu kati ya hizo wao ni Mabingwa bila kujali matokeo mengine.
VIKOSI:
Sunderland: Mignolet, Bardsley (Larsson 78), Bramble, O'Shea, Rose (Colback 85), Johnson (Wickham 76), Gardner, N'Diaye,McClean, Sessegnon, Graham.
Subs not used: Westwood, Kilgallon, Mangane, Mandron.
Booked: N'Diaye, O'Shea, Bardsley.
Manchester United: De Gea, Da Silva (Evans 32), Vidic, Smalling, Buttner, Valencia, Carrick, Anderson (Cleverley 84), Young, Kagawa (Welbeck 78), van Persie.
Subs not used: Lindegaard, Evra, Nani, Powell.
Booked: Van Persie.
Goals: Bramble 27 og.
Attendance: 43,760
Referee: Kevin Friend
No comments:
Post a Comment