Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, akizungumza na wanachama na mashabiki timu hiyo, ambao walifika Makao Makuu ya klabu hiyo, Msimbazi jijini Dar es Salaam, mara baada ya Rage kuwasili leo akitokea nchini India kwa matibabu. (Picha na Francis Dande wa http://francisdande.blogspot.com/)
Mashabiki na wachama wa Simba wakilisukuma gari alilopanda Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage wakati alipowasili Makao Makuu ya klabu hiyo leo akitokea India kwa matibabu..
Karibu Mwenyekiti wetu.
No comments:
Post a Comment