WAKAZI WA KAHAMA WAFURAHIA UJIO WA DIAMOND PLATINUMZ
Maeneo ya Kahama mjini leo kwenye P.A Sehemu ya Standi ndogo Kahama palikuwa hapatoshi mchana huu, Usiku ni funga kazi Stendi kuu Kahama Mabasi na magari madogo ilibidi yatulie kwanza...mitaa ya stendi leo hii... Diamond akiimpa nyimbo yake ambayo imewakonga wakazi wa Kahama ya Kesho!! Nyomi la watu ki platinumz leo hii. Ngoja nisimame mnione tena jamani... Usiku patakuwa hapatoshi ...
No comments:
Post a Comment