BUKOBA SPORTS

Sunday, April 7, 2013

BAYERN MUNICH WAVUNJA REKODI...BAADA YA KUIFUNGA BAO 1-0 BORUSIA DORTMUND HUKU ZIKIWA ZIMEPAKI MECHI SITA TUU.


KLABU ya Bayern Munich imetwaa taji lake la 23 la Bundesliga ikiwa imebakiza mechi sita kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Eintracht Frankfurt.
Kwa wiki kadhaa lilikuwa suala la lini Bayern watatangazwa rasmi kuwa mabingwa wapya, wakiivua taji Borussia Dortmund na bao la Bastian Schweinsteiger dakika ya 53 limewapa wageni ushindi waliouhitaji.
Ushindi huo, unaifanya Bayern itimize pointi 75, 20 zaidi dhidi ya Borussia Dortmund walio katika nafasi ya pili, ambao wameifunga Augsburg 4-2.

Kocha mkuu  Jupp Heynckes akibebwa juu kwa juu baada ya furaha kutanda uwajani hapo
Franck Ribery akipotezea furaha zake za ubingwa kwenye megaphone

Wachezaji wa  Bayern Munich wakifurahia ushindi huo wa kuongoza ligi hiyo
Wachezaji wa Bayern Munich wakifurahia..

Tunaongoza: Bastian Schweinsteiger akifurahi upachikaji wa bao la ushindi dhidi ya Eintracht Frankfurt

Frankfurt special: Bastian Schweinsteiger akifurahia ushindi wa bao lake

Hakunaga:..Schweinsteiger bao lake liliwapa  Bayern ushindi huku zikiwa zimebaki mechi 6 tu

United nations: Brazilian defender Dante (L) and Spanish midfielder Javier Martinez celebrate

Mchezaji wa Bayern Thomas Mueller akishangilia akiwa na mashabiki uwanjani hapo huku akiwa ameshikilia kipaza sauti

No comments:

Post a Comment