Katika kudhihirisha kama alikwenda Azam kimakosa kijana huyo mwenye kasi mithili ya B52, Mrisho Khalfan Ngassa katika mechi mbili za mwisho aliweza kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mashabiki wa Yanga kwa kushangilia goli huku akiwapungia mikono mashabiki wa Yanga badala ya Azam na kutupiwa jezi aliyoibusu kwa hisia kali ya kui miss Klabu hiyo ya mitaa ya Jangwani na Twiga na Siku ya Fainali alionekana akisalimiana na mwenyekiti mpya wa Klabu hiyo Yusuf Manji..ukiangalia tabasamu lake utaona kama anasema Mzee nataka kurudi "nyumbani ni nyumbani" Mazingira hayo yote yanatuonyesha kuwa kijana ana mapenzi makubwa na Yanga..Manji fanya hima mrudishe kijana kundini. Ndio maana nimesema Ngassa kumbe Yanga damu, Simba msijaribu mtaliwa.
Monday, May 20, 2013
MRISHO KHALIFAN NGASSA HUYOOOO YANGA!!!, ASAINI MIAKA MIWILI NA KLABU HIYO.
Katika kudhihirisha kama alikwenda Azam kimakosa kijana huyo mwenye kasi mithili ya B52, Mrisho Khalfan Ngassa katika mechi mbili za mwisho aliweza kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mashabiki wa Yanga kwa kushangilia goli huku akiwapungia mikono mashabiki wa Yanga badala ya Azam na kutupiwa jezi aliyoibusu kwa hisia kali ya kui miss Klabu hiyo ya mitaa ya Jangwani na Twiga na Siku ya Fainali alionekana akisalimiana na mwenyekiti mpya wa Klabu hiyo Yusuf Manji..ukiangalia tabasamu lake utaona kama anasema Mzee nataka kurudi "nyumbani ni nyumbani" Mazingira hayo yote yanatuonyesha kuwa kijana ana mapenzi makubwa na Yanga..Manji fanya hima mrudishe kijana kundini. Ndio maana nimesema Ngassa kumbe Yanga damu, Simba msijaribu mtaliwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment