BUKOBA SPORTS

Friday, May 17, 2013

REDD'S MISS UBUNGO KUPATIKANA LEO IJUMAA, TAREHE 17.05.2013


Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani leo Ijumaa ya Mei 17, 2013 Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar es Salaam na kusindikizwa na kundi zima la FM Academia wazee wa Ngwasuma.

No comments:

Post a Comment