Rais wa U.S. Barack Obama na first lady Michelle Obama wakipanda ndege yao ya Air Force One leo jijini Dar es Salaam tayari kwa safari!!
Rais Barack na Michelle Obama wakiwapungia mikono wenyeji wao Kikwete na mkewe leo hii Airforce One kabla aijapaa kuelekea Marekani
Kwaher Africa!!! Barack Obama na first lady Michelle Obama wakipunga mikono wote wawili kuwaaga na kuelekea Marekani leo hii.
Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso (kulia) wakiipungia ndege iliyokuwa inapaa.
Rais Barack Obama na mkewe Michelle wakiwaaga watanzania leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, alipokuwa akiondoka kurudi kwao Marekani baada ya ziara ya siku mbili nchini.


Air Force One ikichukua sura mpya ya kupaa na kuacha ardhi ya Tanzanian
No comments:
Post a Comment