Meneja wa Mradi wa kuwawezesha wanawake wa MWEI, Grace Lyon, akiwaelimisha baadhi ya wateja waliotembelea banda la Vodacom katika maonesho ya 37 ya Sabasaba, namna ya mradi huo unavyofanya kazi kwa kuwawezesha wajasiriamali wadogo wanawake kupata mikopo isiyokuwa na riba. Mradi huo hadi sasa umewawezesha wanawake zaidi ya 7,000.

Afisa wa Vodacom akimuelimisha mmoja wa wateja waliojitokeza kupata huduma katika banda la Vodacom lililopo katika maonesho…

Meneja wa Mradi wa kuwawezesha wanawake wa MWEI, Grace Lyon, akiwaelimisha baadhi ya wateja waliotembelea banda la Vodacom katika maonesho ya 37 ya Sabasaba, namna ya mradi huo unavyofanya kazi kwa kuwawezesha wajasiriamali wadogo wanawake kupata mikopo isiyokuwa na riba. Mradi huo hadi sasa umewawezesha wanawake zaidi ya 7,000.

Afisa wa Vodacom akimuelimisha mmoja wa wateja waliojitokeza kupata huduma katika banda la Vodacom lililopo katika maonesho ya 37 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo sasa imewawezesha wateja wake kulipia bidhaa kupitia huduma ya M-Pesa katika maonyesho hayo.

Hili ndilo Banda la Vodacom linavyoonekana kwa nje katika Viwanja vya Sabasaba.

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania walioko katika maonesho ya 37 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja tayari kabisa kwa kutoa huduma kibandani hapo.
No comments:
Post a Comment