Diamond ni kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri katika tasnia ya muziki huu kutokana na ubora wa mashairi ya ntimbo zake kukubalika katika jamii.
“Naomba wapenzi wa kazi zangu wakae mkao wa kula kwaajili ya kazi hiyo ambayo naamini itakuja kuwashika wengi kutokana na ubora wake,” alisema.
Alisema kazi hiyo ataisambaza pamoja na video yake akiwa na lengo lakuwapa burugani iliyokamilika mashabiki wa kazi zake ambao ndio wanamfanya azidi kung’ara yeye pamoja na familia yake.
No comments:
Post a Comment