DIAMOND &Penniel Mungiwa,Presenter wa DTV.
Hamis Mwinjuna A.k.a Mwana F.A alikuwepo pia kushow Love.
Interiew zinahusika sana sehemu kama hizi.
Sauda wa Bongo Beats ya Star Tv nae akukosekana ndani ya nyumba.
Chege Chigunda Toka TMK nae alikuwepo.
Flowers awakosekanagi sehemu kama hizi.......
wakiongozwa na Number One Diva Hamisa
hassani Mobeto.
Mzee Muhidini Gurumo akihojiwa
Prince Brother Man Dully Sykes akiwasili
ndani ya Nyumba pembeni na FloweR
Shadee toka Clouds Tv,presenter wa Cloud 9...
Shadee & Dully...Mmmmmh....??? Aya sina usemi
Kama kawaida.
Sarah A.k.a Shaa nae ndani
Movement zikiendelea na mahojiano mbalimbali
kati ya wasanii na presenters wa vituo mbalimbali
vya Habari & Blogs kiujumla wakiwa kazini.
Asha Baraka,Manager na Owner wa Twanga Pepeta nae alikuwepo.
Mwenyewe Naseeb Abdul,Shuguli ikawa imefikia patamu sasa.
Nikijibu maswali tofauti tofauti toka kwa waandishi wa Habari...
Jacquline Wolper toka Bongo Move nae akukosekana.
Jacquline wolper & Qboy Msafii.
The True Boy Is in the building.
Proffesor Jay a.k.a Father House nae alikuwepo
kushow Love kwa mdogo wake.
No comments:
Post a Comment