Wakicheza kwa kasi kubwa kama ile iliyowapa ushindi wa Bao 3-0 huko Uturuki Juzi Jumatano walipoifunga Fenerbahce katika Mechi ya kwanza ya Raundi ya Mchujo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, iliwachukua Dakika 14 kwa Arsenal kupiga Bao la kwanza kupitia Olivier Giroud.
Mechi inayofuata ya Ligi kwa Arsenal ni ya Nyumbani kwao Emirates hapo Septemba Mosi ikiwa ni Dabi ya London ya Kaskazini dhidi ya Mahasimu wao Tottenham Hotspur.
Mchezaji mpya Darren Bent akifunga bao lao la pekee dakika ya 77
VIKOSI:
Fulham: Stockdale 5, Riether 5, Hughes 5, Hangeland 6, Riise 5, Duff 5 (Bent 59 - 6), Parker 6, Sidwell 6 (Karagounis 75), Taarabt 6 (Kacaniklic 62 - 6), Kasami 6, Berbatov 5Subs not used: Ruiz, Briggs, Boateng, Etheridge
Goal: Bent 77
Booked: Parker, Kasami
Arsenal: Szczesny 6, Jenkinson 7, Sagna 7, Mertesacker 7, Gibbs 7, Ramsey 8, Rosicky 7 (Wilshere 70), Cazorla 7, Podolski 8 (Sanogo 81), Walcott 8, Giroud 7 (Monreal 72)
Subs not used: Fabianski, Frimpong, Gnabry, Zelalem
Goals: Giroud 14, Podolski 41, 68
Booked: Ramsey, Wilshere
No comments:
Post a Comment