Hatem Ben Alfa Hatem ndiye aliyewezesha Newcastle kumaliza ukame wa mechi 4 bila goli,kufwatia goli alilofunga mnamo dakika za mwisho.
Huo pia umekuwa ushindi wa kwanza wa nyumbani kwa timu hiyo, tangu kuanza kwa michuano ya ligi.
Katika matokeo ya mechi zingine,West Ham wameangushwa nyumbani na Stoke kwa kufungwa bao 1-0 lililofungwa na Jarmaine Pennant kunako dakika ya 82.
Norwich nao wakichezea nyumbani wameifunga Southampton 1-0 huku Cardiff na Everton zikitoka nguvu sawa.
Jumapili hii kunatarajiwa mechi mbili kali ambapo Liverpool itaikaribisha Manchester United na Arsenal kuzipiga na Tottenham.
Chelsea inaongoza ligi ikiwa na alama 7 ikizidi kwa alama moja Manchester City,Liverpool,Tottenham na Stoke.Lakini pia ina mechi moja zaidi kuliko timu zingine.
Yohan Cabaye akicheza nae mechi ya kwanza kwake yeye tangu msimu uanze na timu yake Newcastle dhidi ya Fulham
Meneja wa Newcastle United Pardew akimshika kijana wake Yohan Cabaye na kuteta nae jinsi ya kupata ushindi leo hii
Mtu na Mtu hapa Mchezaji wa Fulham Sascha Riether akichuana na Sylvain Marveaux
Meneja wa Fulham Martin Jol akiduwaa uwanjani
Patashika mchezaji wa Newcastle Shola Ameobi akifanikiwa kupiga mpira kwa kichwa dhidi ya Brede Hangeland wa Fulham.
Vurnon Anita akimzuia Scott Parker asipite!!
VIKOSI:
Newcastle: (4-4-2) Krul 7, Debuchy 7, Yanga-Mbiwa 6, Coloccini 7, Santon 6, Ben Arfa 8, Sissoko 7, Anita 5 (Cabaye 65, 6),Marveaux 5(Remy 74, 7),Shola Ameobi 6 (Gouffran 65),Cisse 5.
Subs not used: Gosling, Elliot, Sammy Ameobi, Dummett.
Goal: Ben Arfa (86)
Booked: Ben Arfa, Cabaye.
Fulham: (4-3-2-1) Stockdale 6, Riether 6 (Briggs 79, 6) , Hangeland 6, Hughes 7, Riise 7, Kacaniklic 5, Sidwell 6 (Rodallega 89), Parker 7, Ruiz 5, Berbatov 6, Bent 5 (Taarabt 82)
Subs not used: Karagounis, Duff, Boateng, Etheridge.
Booked: Kacaniklic, Riise.
Att: 46,402
Referee: Chris Foy 6
No comments:
Post a Comment